Native Bible

Matthew 1:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baada ya uhamisho wa Babeli: Yekonia alimzaa Shealtieli, Shealtieli akamzaa Zerubabeli,

Matthew 1:12 in English

Matthew 1:12 · Berean Standard Bible

After the exile to Babylon: Jeconiah was the father of Shealtiel, Shealtiel the father of Zerubbabel,

Context

10Hezekia akamzaa Manase, Manase akamzaa Amoni, Amoni akamzaa Yosia, 11wakati wa uhamisho wa Babeli, Yosia alimzaa Yekonia na ndugu zake. 12Baada ya uhamisho wa Babeli: Yekonia alimzaa Shealtieli, Shealtieli akamzaa Zerubabeli, 13Zerubabeli akamzaa Abiudi, Abiudi akamzaa Eliakimu, Eliakimu akamzaa Azori, 14Azori akamzaa Sadoki, Sadoki akamzaa Akimu, Akimu akamzaa Eliudi,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.