Native Bible

Matthew 1:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Zerubabeli akamzaa Abiudi, Abiudi akamzaa Eliakimu, Eliakimu akamzaa Azori,

Matthew 1:13 in English

Matthew 1:13 · Berean Standard Bible

Zerubbabel the father of Abiud, Abiud the father of Eliakim, and Eliakim the father of Azor.

Context

11wakati wa uhamisho wa Babeli, Yosia alimzaa Yekonia na ndugu zake. 12Baada ya uhamisho wa Babeli: Yekonia alimzaa Shealtieli, Shealtieli akamzaa Zerubabeli, 13Zerubabeli akamzaa Abiudi, Abiudi akamzaa Eliakimu, Eliakimu akamzaa Azori, 14Azori akamzaa Sadoki, Sadoki akamzaa Akimu, Akimu akamzaa Eliudi, 15Eliudi akamzaa Eleazari, Eleazari akamzaa Matani, Matani akamzaa Yakobo,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.