Luka 3:13
Luke 3:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akawaambia, “Msichukue zaidi ya kiwango mlichopangiwa.”
Luke 3:13 in English
Luke 3:13 · Berean Standard Bible
“Collect no more than you are authorized,” he answered.
Context
11Yohana akawaambia, “Aliye na kanzu mbili amgawie asiye nayo, naye aliye na chakula na afanye vivyo hivyo.” 12Watoza ushuru nao wakaja ili wabatizwe, wakamuuliza, “Bwana na sisi inatupasa tufanyeje?” 13Akawaambia, “Msichukue zaidi ya kiwango mlichopangiwa.” 14Askari nao wakamuuliza, “Je, nasi inatupasa tufanye nini?”
Akawaambia, “Msimdhulumu mtu wala msimshtaki mtu kwa uongo, bali mridhike na mishahara yenu.” 15Watu walikuwa na matazamio makubwa. Wakawa wanajiuliza mioyoni mwao iwapo Yohana angeweza kuwa ndiye Kristo.*
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.