Native Bible

Luke 3:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yohana akawaambia, “Aliye na kanzu mbili amgawie asiye nayo, naye aliye na chakula na afanye vivyo hivyo.”

Luke 3:11 in English

Luke 3:11 · Berean Standard Bible

John replied, “Whoever has two tunics should share with him who has none, and whoever has food should do the same.”

Context

9Hata sasa shoka limeshawekwa tayari kwenye shina la kila mti. Basi kila mti usiozaa matunda mazuri hukatwa na kutupwa motoni.” 10Ule umati wa watu ukamuuliza, “Inatupasa tufanyeje basi?” 11Yohana akawaambia, “Aliye na kanzu mbili amgawie asiye nayo, naye aliye na chakula na afanye vivyo hivyo.” 12Watoza ushuru nao wakaja ili wabatizwe, wakamuuliza, “Bwana na sisi inatupasa tufanyeje?” 13Akawaambia, “Msichukue zaidi ya kiwango mlichopangiwa.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.