Luka 3:10
Luke 3:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ule umati wa watu ukamuuliza, “Inatupasa tufanyeje basi?”
Luke 3:10 in English
Luke 3:10 · Berean Standard Bible
The crowds asked him, “What then should we do?”
Context
8Basi zaeni matunda yastahiliyo toba. Wala msianze kusema mioyoni mwenu kuwa, ‘Sisi tunaye Abrahamu, baba yetu.’ Kwa maana nawaambia kuwa Mungu anaweza kumwinulia Abrahamu watoto kutoka mawe haya. 9Hata sasa shoka limeshawekwa tayari kwenye shina la kila mti. Basi kila mti usiozaa matunda mazuri hukatwa na kutupwa motoni.” 10Ule umati wa watu ukamuuliza, “Inatupasa tufanyeje basi?” 11Yohana akawaambia, “Aliye na kanzu mbili amgawie asiye nayo, naye aliye na chakula na afanye vivyo hivyo.” 12Watoza ushuru nao wakaja ili wabatizwe, wakamuuliza, “Bwana na sisi inatupasa tufanyeje?”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.