Luka 24:50
Luke 24:50 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akiisha kuwaongoza mpaka kwenye viunga vya Bethania, akainua mikono yake juu na kuwabariki.
Luke 24:50 in English
Luke 24:50 · Berean Standard Bible
When Jesus had led them out as far as Bethany, He lifted up His hands and blessed them.
Context
48Ninyi ni mashahidi wa mambo haya. 49“Tazama nitawatumia ahadi ya Baba yangu; lakini kaeni humu mjini hadi mtakapovikwa uwezo utokao juu.” 50Akiisha kuwaongoza mpaka kwenye viunga vya Bethania, akainua mikono yake juu na kuwabariki. 51Alipokuwa anawabariki, akawaacha, akachukuliwa mbinguni. 52Kisha wakamwabudu na kurudi Yerusalemu wakiwa wamejawa na furaha kuu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.