Luka 24:51
Luke 24:51 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Alipokuwa anawabariki, akawaacha, akachukuliwa mbinguni.
Luke 24:51 in English
Luke 24:51 · Berean Standard Bible
While He was blessing them, He left them and was carried up into heaven.
Context
49“Tazama nitawatumia ahadi ya Baba yangu; lakini kaeni humu mjini hadi mtakapovikwa uwezo utokao juu.” 50Akiisha kuwaongoza mpaka kwenye viunga vya Bethania, akainua mikono yake juu na kuwabariki. 51Alipokuwa anawabariki, akawaacha, akachukuliwa mbinguni. 52Kisha wakamwabudu na kurudi Yerusalemu wakiwa wamejawa na furaha kuu. 53Nao wakadumu ndani ya Hekalu wakimtukuza Mungu. Amen.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.