Native Bible

Luke 24:49 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Tazama nitawatumia ahadi ya Baba yangu; lakini kaeni humu mjini hadi mtakapovikwa uwezo utokao juu.”

Luke 24:49 in English

Luke 24:49 · Berean Standard Bible

And behold, I am sending the promise of My Father upon you. But remain in the city until you have been clothed with power from on high.”

Context

47Toba na msamaha wa dhambi zitatangaziwa mataifa yote kupitia jina lake kuanzia Yerusalemu. 48Ninyi ni mashahidi wa mambo haya. 49“Tazama nitawatumia ahadi ya Baba yangu; lakini kaeni humu mjini hadi mtakapovikwa uwezo utokao juu.” 50Akiisha kuwaongoza mpaka kwenye viunga vya Bethania, akainua mikono yake juu na kuwabariki. 51Alipokuwa anawabariki, akawaacha, akachukuliwa mbinguni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.