Luka 24:47
Luke 24:47 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Toba na msamaha wa dhambi zitatangaziwa mataifa yote kupitia jina lake kuanzia Yerusalemu.
Luke 24:47 in English
Luke 24:47 · Berean Standard Bible
and in His name repentance and forgiveness of sins will be proclaimed to all nations, beginning in Jerusalem.
Context
45Ndipo akafungua fahamu zao ili waweze kuyaelewa Maandiko. 46Akawaambia, “Haya ndiyo yaliyoandikwa: Kristo atateswa na siku ya tatu atafufuka kutoka kwa wafu. 47Toba na msamaha wa dhambi zitatangaziwa mataifa yote kupitia jina lake kuanzia Yerusalemu. 48Ninyi ni mashahidi wa mambo haya. 49“Tazama nitawatumia ahadi ya Baba yangu; lakini kaeni humu mjini hadi mtakapovikwa uwezo utokao juu.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.