Luka 24:45
Luke 24:45 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ndipo akafungua fahamu zao ili waweze kuyaelewa Maandiko.
Luke 24:45 in English
Luke 24:45 · Berean Standard Bible
Then He opened their minds to understand the Scriptures.
Context
43naye akakichukua na kukila mbele yao. 44Akawaambia, “Haya ndiyo yale niliyowaambia nilipokuwa bado niko pamoja nanyi, kwamba yote yaliyoandikwa kunihusu mimi katika Sheria ya Mose, Manabii na Zaburi hayana budi kutimizwa.” 45Ndipo akafungua fahamu zao ili waweze kuyaelewa Maandiko. 46Akawaambia, “Haya ndiyo yaliyoandikwa: Kristo atateswa na siku ya tatu atafufuka kutoka kwa wafu. 47Toba na msamaha wa dhambi zitatangaziwa mataifa yote kupitia jina lake kuanzia Yerusalemu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.