Luka 24:43
Luke 24:43 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
naye akakichukua na kukila mbele yao.
Luke 24:43 in English
Luke 24:43 · Berean Standard Bible
and He took it and ate it in front of them.
Context
41Wakashindwa kuamini kwa ajili ya furaha na mshangao waliokuwa nao. Akawauliza, “Mna chakula chochote hapa?” 42Wakampa kipande cha samaki aliyeokwa, 43naye akakichukua na kukila mbele yao. 44Akawaambia, “Haya ndiyo yale niliyowaambia nilipokuwa bado niko pamoja nanyi, kwamba yote yaliyoandikwa kunihusu mimi katika Sheria ya Mose, Manabii na Zaburi hayana budi kutimizwa.” 45Ndipo akafungua fahamu zao ili waweze kuyaelewa Maandiko.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.