Native Bible

Luke 24:42 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakampa kipande cha samaki aliyeokwa,

Luke 24:42 in English

Luke 24:42 · Berean Standard Bible

So they gave Him a piece of broiled fish,*

Context

40Aliposema haya, akawaonyesha mikono na miguu yake. 41Wakashindwa kuamini kwa ajili ya furaha na mshangao waliokuwa nao. Akawauliza, “Mna chakula chochote hapa?” 42Wakampa kipande cha samaki aliyeokwa, 43naye akakichukua na kukila mbele yao. 44Akawaambia, “Haya ndiyo yale niliyowaambia nilipokuwa bado niko pamoja nanyi, kwamba yote yaliyoandikwa kunihusu mimi katika Sheria ya Mose, Manabii na Zaburi hayana budi kutimizwa.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.