Luka 24:40
Luke 24:40 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Aliposema haya, akawaonyesha mikono na miguu yake.
Luke 24:40 in English
Luke 24:40 · Berean Standard Bible
And when He had said this, He showed them His hands and feet.
Context
38Lakini Yesu akawauliza, “Kwa nini mnaogopa? Kwa nini mna shaka mioyoni mwenu? 39Tazameni mikono yangu na miguu yangu, mwone kuwa ni mimi hasa. Niguseni mwone; kwa maana mzuka hauna nyama na mifupa, kama mnionavyo kuwa navyo.” 40Aliposema haya, akawaonyesha mikono na miguu yake. 41Wakashindwa kuamini kwa ajili ya furaha na mshangao waliokuwa nao. Akawauliza, “Mna chakula chochote hapa?” 42Wakampa kipande cha samaki aliyeokwa,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.