Native Bible

Luke 24:41 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakashindwa kuamini kwa ajili ya furaha na mshangao waliokuwa nao. Akawauliza, “Mna chakula chochote hapa?”

Luke 24:41 in English

Luke 24:41 · Berean Standard Bible

While they were still in disbelief because of their joy and amazement, He asked them, “Do you have anything here to eat?”

Context

39Tazameni mikono yangu na miguu yangu, mwone kuwa ni mimi hasa. Niguseni mwone; kwa maana mzuka hauna nyama na mifupa, kama mnionavyo kuwa navyo.” 40Aliposema haya, akawaonyesha mikono na miguu yake. 41Wakashindwa kuamini kwa ajili ya furaha na mshangao waliokuwa nao. Akawauliza, “Mna chakula chochote hapa?” 42Wakampa kipande cha samaki aliyeokwa, 43naye akakichukua na kukila mbele yao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.