Luka 24:48
Luke 24:48 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ninyi ni mashahidi wa mambo haya.
Luke 24:48 in English
Luke 24:48 · Berean Standard Bible
You are witnesses of these things.
Context
46Akawaambia, “Haya ndiyo yaliyoandikwa: Kristo atateswa na siku ya tatu atafufuka kutoka kwa wafu. 47Toba na msamaha wa dhambi zitatangaziwa mataifa yote kupitia jina lake kuanzia Yerusalemu. 48Ninyi ni mashahidi wa mambo haya. 49“Tazama nitawatumia ahadi ya Baba yangu; lakini kaeni humu mjini hadi mtakapovikwa uwezo utokao juu.” 50Akiisha kuwaongoza mpaka kwenye viunga vya Bethania, akainua mikono yake juu na kuwabariki.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.