Luka 23:43
Luke 23:43 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yesu akamjibu, “Amin, nakuambia, leo hii utakuwa pamoja nami Paradiso.”*
Luke 23:43 in English
Luke 23:43 · Berean Standard Bible
And Jesus said to him, “Truly I tell you, today you will be with Me in Paradise.”
Context
41Sisi tumehukumiwa kwa haki kwa kuwa tunapata tunayostahili kwa ajili ya matendo yetu. Lakini huyu mtu hajafanya kosa lolote.” 42Kisha akasema, “Yesu, unikumbuke utakapokuja katika Ufalme wako.” 43Yesu akamjibu, “Amin, nakuambia, leo hii utakuwa pamoja nami Paradiso.”* 44Ilikuwa kama saa sita mchana, nalo giza likafunika nchi yote hadi saa tisa, 45kwa sababu jua liliacha kutoa nuru. Pazia la Hekalu likachanika vipande viwili.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.