Luka 23:44
Luke 23:44 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ilikuwa kama saa sita mchana, nalo giza likafunika nchi yote hadi saa tisa,
Luke 23:44 in English
Luke 23:44 · Berean Standard Bible
It was now about the sixth hour, and darkness came over all the land until the ninth hour.*
Context
42Kisha akasema, “Yesu, unikumbuke utakapokuja katika Ufalme wako.” 43Yesu akamjibu, “Amin, nakuambia, leo hii utakuwa pamoja nami Paradiso.”* 44Ilikuwa kama saa sita mchana, nalo giza likafunika nchi yote hadi saa tisa, 45kwa sababu jua liliacha kutoa nuru. Pazia la Hekalu likachanika vipande viwili. 46Yesu akapaza sauti yake akasema, “Baba, mikononi mwako naikabidhi roho yangu.” Baada ya kusema haya, akakata roho.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.