Native Bible

Luke 23:42 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha akasema, “Yesu, unikumbuke utakapokuja katika Ufalme wako.”

Luke 23:42 in English

Luke 23:42 · Berean Standard Bible

Then he said, “Jesus, remember me * when You come into Your kingdom!”

Context

40Lakini yule mhalifu mwingine akamkemea mwenzake, akasema, “Je, wewe humwogopi Mungu, wakati uko kwenye adhabu iyo hiyo? 41Sisi tumehukumiwa kwa haki kwa kuwa tunapata tunayostahili kwa ajili ya matendo yetu. Lakini huyu mtu hajafanya kosa lolote.” 42Kisha akasema, “Yesu, unikumbuke utakapokuja katika Ufalme wako.” 43Yesu akamjibu, “Amin, nakuambia, leo hii utakuwa pamoja nami Paradiso.”* 44Ilikuwa kama saa sita mchana, nalo giza likafunika nchi yote hadi saa tisa,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.