Native Bible

Luke 23:41 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sisi tumehukumiwa kwa haki kwa kuwa tunapata tunayostahili kwa ajili ya matendo yetu. Lakini huyu mtu hajafanya kosa lolote.”

Luke 23:41 in English

Luke 23:41 · Berean Standard Bible

We are punished justly, for we are receiving what our actions deserve. But this man has done nothing wrong.”

Context

39Mmoja wa wale wahalifu waliosulubiwa pamoja naye akamtukana, akasema: “Wewe si ndiye Kristo? Jiokoe mwenyewe na utuokoe na sisi.” 40Lakini yule mhalifu mwingine akamkemea mwenzake, akasema, “Je, wewe humwogopi Mungu, wakati uko kwenye adhabu iyo hiyo? 41Sisi tumehukumiwa kwa haki kwa kuwa tunapata tunayostahili kwa ajili ya matendo yetu. Lakini huyu mtu hajafanya kosa lolote.” 42Kisha akasema, “Yesu, unikumbuke utakapokuja katika Ufalme wako.” 43Yesu akamjibu, “Amin, nakuambia, leo hii utakuwa pamoja nami Paradiso.”*

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.