Native Bible

Luke 22:43 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Malaika kutoka mbinguni akamtokea, akamtia nguvu.

Luke 22:43 in English

Luke 22:43 · Berean Standard Bible

Then an angel from heaven appeared to Him and strengthened Him.

Context

41Akajitenga nao kama umbali wa kutupa jiwe, akapiga magoti, akaomba 42akisema, “Baba, kama ni mapenzi yako, niondolee kikombe hiki. Lakini si kama nipendavyo, bali mapenzi yako yatendeke.” 43Malaika kutoka mbinguni akamtokea, akamtia nguvu. 44Naye akiwa katika maumivu makuu, akaomba kwa bidii, nalo jasho lake likawa kama matone ya damu yakidondoka ardhini. 45Baada ya kuomba, akawarudia wanafunzi wake akawakuta wamelala, wakiwa wamechoka kutokana na huzuni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.