Luka 22:41
Luke 22:41 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akajitenga nao kama umbali wa kutupa jiwe, akapiga magoti, akaomba
Luke 22:41 in English
Luke 22:41 · Berean Standard Bible
And He withdrew about a stone’s throw beyond them, where He knelt down and prayed,
Context
39Yesu akatoka, akaenda kwenye Mlima wa Mizeituni kama ilivyokuwa kawaida yake, nao wanafunzi wake wakamfuata. 40Walipofika huko, akawaambia wanafunzi wake, “Ombeni, msije mkaingia majaribuni.” 41Akajitenga nao kama umbali wa kutupa jiwe, akapiga magoti, akaomba 42akisema, “Baba, kama ni mapenzi yako, niondolee kikombe hiki. Lakini si kama nipendavyo, bali mapenzi yako yatendeke.” 43Malaika kutoka mbinguni akamtokea, akamtia nguvu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.