Native Bible

Luke 22:40 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Walipofika huko, akawaambia wanafunzi wake, “Ombeni, msije mkaingia majaribuni.”

Luke 22:40 in English

Luke 22:40 · Berean Standard Bible

When He came to the place, He told them, “Pray that you will not enter into temptation.”

Context

38Wanafunzi wake wakamwambia, “Bwana, tazama hapa kuna panga mbili.” Akawajibu, “Inatosha.” 39Yesu akatoka, akaenda kwenye Mlima wa Mizeituni kama ilivyokuwa kawaida yake, nao wanafunzi wake wakamfuata. 40Walipofika huko, akawaambia wanafunzi wake, “Ombeni, msije mkaingia majaribuni.” 41Akajitenga nao kama umbali wa kutupa jiwe, akapiga magoti, akaomba 42akisema, “Baba, kama ni mapenzi yako, niondolee kikombe hiki. Lakini si kama nipendavyo, bali mapenzi yako yatendeke.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.