Luka 2:31
Luke 2:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
ulioweka tayari machoni pa watu wote,
Luke 2:31 in English
Luke 2:31 · Berean Standard Bible
which You have prepared in the sight of all people,
Context
29“Bwana Mwenyezi, kama ulivyoahidi,
sasa wamruhusu mtumishi wako
aende zake kwa amani. 30Kwa maana macho yangu yameuona wokovu wako, 31ulioweka tayari machoni pa watu wote, 32nuru kwa ajili ya ufunuo kwa watu wa Mataifa
na kwa ajili ya utukufu kwa watu wako Israeli.” 33Naye Yosefu na mama yake mtoto wakastaajabu kwa yale yaliyokuwa yamesemwa kumhusu huyo mtoto.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.