Native Bible

Luke 2:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

nuru kwa ajili ya ufunuo kwa watu wa Mataifa na kwa ajili ya utukufu kwa watu wako Israeli.”

Luke 2:32 in English

Luke 2:32 · Berean Standard Bible

a light for revelation to the Gentiles, and for glory to Your people Israel.”

Context

30Kwa maana macho yangu yameuona wokovu wako, 31ulioweka tayari machoni pa watu wote, 32nuru kwa ajili ya ufunuo kwa watu wa Mataifa na kwa ajili ya utukufu kwa watu wako Israeli.” 33Naye Yosefu na mama yake mtoto wakastaajabu kwa yale yaliyokuwa yamesemwa kumhusu huyo mtoto. 34Kisha Simeoni akawabariki, akamwambia Maria mama yake, “Mtoto huyu amewekwa kwa makusudi ya kuanguka na kuinuka kwa wengi katika Israeli. Atakuwa ishara ambayo watu watanena dhidi yake,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.