Luka 2:33
Luke 2:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Naye Yosefu na mama yake mtoto wakastaajabu kwa yale yaliyokuwa yamesemwa kumhusu huyo mtoto.
Luke 2:33 in English
Luke 2:33 · Berean Standard Bible
The Child’s father and mother were amazed at what was spoken about Him.
Context
31ulioweka tayari machoni pa watu wote, 32nuru kwa ajili ya ufunuo kwa watu wa Mataifa
na kwa ajili ya utukufu kwa watu wako Israeli.” 33Naye Yosefu na mama yake mtoto wakastaajabu kwa yale yaliyokuwa yamesemwa kumhusu huyo mtoto. 34Kisha Simeoni akawabariki, akamwambia Maria mama yake, “Mtoto huyu amewekwa kwa makusudi ya kuanguka na kuinuka kwa wengi katika Israeli. Atakuwa ishara ambayo watu watanena dhidi yake, 35ili mawazo ya mioyo mingi yadhihirike. Nao upanga utauchoma moyo wako.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.