Luka 2:30
Luke 2:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa maana macho yangu yameuona wokovu wako,
Luke 2:30 in English
Luke 2:30 · Berean Standard Bible
For my eyes have seen Your salvation,
Context
28ndipo Simeoni akampokea mtoto mikononi mwake na kumsifu Mungu, akisema: 29“Bwana Mwenyezi, kama ulivyoahidi,
sasa wamruhusu mtumishi wako
aende zake kwa amani. 30Kwa maana macho yangu yameuona wokovu wako, 31ulioweka tayari machoni pa watu wote, 32nuru kwa ajili ya ufunuo kwa watu wa Mataifa
na kwa ajili ya utukufu kwa watu wako Israeli.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.