Native Bible

Luke 2:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ndipo Simeoni akampokea mtoto mikononi mwake na kumsifu Mungu, akisema:

Luke 2:28 in English

Luke 2:28 · Berean Standard Bible

Simeon took Him in his arms and blessed God, saying:

Context

26Roho Mtakatifu alikuwa amemfunulia kuwa hatakufa kabla hajamwona Kristo wa Bwana. 27Simeoni, akiwa ameongozwa na Roho Mtakatifu, alikwenda Hekaluni. Wazazi walipomleta mtoto Yesu ili kumfanyia kama ilivyokuwa desturi ya Sheria, 28ndipo Simeoni akampokea mtoto mikononi mwake na kumsifu Mungu, akisema: 29“Bwana Mwenyezi, kama ulivyoahidi, sasa wamruhusu mtumishi wako aende zake kwa amani. 30Kwa maana macho yangu yameuona wokovu wako,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.