Native Bible

Luke 2:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kila mtu alikwenda kuandikishwa katika mji wake alikozaliwa.

Luke 2:3 in English

Luke 2:3 · Berean Standard Bible

And everyone went to his own town to register.

Context

1Siku zile Kaisari Augusto alitoa amri kwamba watu wote waandikishwe katika ulimwengu wa Kirumi. 2(Orodha hii ndiyo ya kwanza iliyofanyika wakati Krenio alikuwa mtawala wa Shamu*). 3Kila mtu alikwenda kuandikishwa katika mji wake alikozaliwa. 4Hivyo Yosefu akapanda kutoka mji wa Nazareti ulioko Galilaya kwenda Uyahudi, mpaka Bethlehemu, mji wa Daudi, kwa sababu yeye alikuwa wa ukoo na wa nyumba ya Daudi. 5Alikwenda huko kujiandikisha pamoja na Maria, ambaye alikuwa amemposa naye alikuwa mjamzito.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.