Native Bible

Luke 2:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Siku zile Kaisari Augusto alitoa amri kwamba watu wote waandikishwe katika ulimwengu wa Kirumi.

Luke 2:1 in English

Luke 2:1 · Berean Standard Bible

Now in those days a decree went out from Caesar Augustus that a census should be taken of the whole empire.*

Context

1Siku zile Kaisari Augusto alitoa amri kwamba watu wote waandikishwe katika ulimwengu wa Kirumi. 2(Orodha hii ndiyo ya kwanza iliyofanyika wakati Krenio alikuwa mtawala wa Shamu*). 3Kila mtu alikwenda kuandikishwa katika mji wake alikozaliwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.