Native Bible

Luke 2:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hii ndiyo itakayokuwa ishara kwenu: Mtamkuta mtoto mchanga amefunikwa nguo za kitoto na kulazwa katika hori ya kulia ngʼombe.”

Luke 2:12 in English

Luke 2:12 · Berean Standard Bible

And this will be a sign to you: You will find a baby wrapped in swaddling cloths and lying in a manger.”

Context

10Lakini malaika akawaambia: “Msiogope. Kwa maana tazama nawaletea habari njema za furaha itakayokuwa kwa watu wote. 11Leo katika mji wa Daudi kwa ajili yenu amezaliwa Mwokozi, ndiye Kristo* Bwana. 12Hii ndiyo itakayokuwa ishara kwenu: Mtamkuta mtoto mchanga amefunikwa nguo za kitoto na kulazwa katika hori ya kulia ngʼombe.” 13Ghafula pakawa na jeshi kubwa la mbinguni pamoja na huyo malaika wakimsifu Mungu wakisema, 14“Atukuzwe Mungu juu mbinguni, na duniani iwe amani kwa watu aliowaridhia.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.