Native Bible

Luke 2:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Atukuzwe Mungu juu mbinguni, na duniani iwe amani kwa watu aliowaridhia.”

Luke 2:14 in English

Luke 2:14 · Berean Standard Bible

“Glory to God in the highest, and on earth peace to men on whom His favor rests!”

Context

12Hii ndiyo itakayokuwa ishara kwenu: Mtamkuta mtoto mchanga amefunikwa nguo za kitoto na kulazwa katika hori ya kulia ngʼombe.” 13Ghafula pakawa na jeshi kubwa la mbinguni pamoja na huyo malaika wakimsifu Mungu wakisema, 14“Atukuzwe Mungu juu mbinguni, na duniani iwe amani kwa watu aliowaridhia.” 15Hao malaika walipokwisha kuondoka na kwenda zao mbinguni, wale wachungaji wakasemezana wao kwa wao, “Twendeni Bethlehemu tukaone mambo haya ya ajabu yaliyotukia, ambayo Bwana ametuambia habari zake.” 16Hivyo wakaenda haraka Bethlehemu, wakawakuta Maria na Yosefu na yule mtoto mchanga akiwa amelala katika hori la kulia ngʼombe.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.