Luka 2:11
Luke 2:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Leo katika mji wa Daudi kwa ajili yenu amezaliwa Mwokozi, ndiye Kristo* Bwana.
Luke 2:11 in English
Luke 2:11 · Berean Standard Bible
Today in the city of David a Savior has been born to you. He is Christ the Lord!
Context
9Ghafula tazama, malaika wa Bwana akawatokea, nao utukufu wa Bwana ukawangʼaria kotekote, wakaingiwa na hofu. 10Lakini malaika akawaambia: “Msiogope. Kwa maana tazama nawaletea habari njema za furaha itakayokuwa kwa watu wote. 11Leo katika mji wa Daudi kwa ajili yenu amezaliwa Mwokozi, ndiye Kristo* Bwana. 12Hii ndiyo itakayokuwa ishara kwenu: Mtamkuta mtoto mchanga amefunikwa nguo za kitoto na kulazwa katika hori ya kulia ngʼombe.” 13Ghafula pakawa na jeshi kubwa la mbinguni pamoja na huyo malaika wakimsifu Mungu wakisema,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.