Native Bible

Luke 19:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Alipokuwa akienda akiwa amempanda, watu wakatandaza mavazi yao barabarani.

Luke 19:36 in English

Luke 19:36 · Berean Standard Bible

As He rode along, the people spread their cloaks on the road.

Context

34Wale wanafunzi wakajibu, “Bwana anamhitaji.” 35Wakamleta kwa Yesu, nao baada ya kutandika mavazi yao juu ya huyo mwana-punda, wakampandisha Yesu juu yake. 36Alipokuwa akienda akiwa amempanda, watu wakatandaza mavazi yao barabarani. 37Alipokaribia mahali yanapoanzia materemko ya Mlima wa Mizeituni, umati wote wa wafuasi wake wakaanza kumsifu Mungu kwa furaha kwa sauti kuu kwa ajili ya matendo yote ya miujiza waliyoyaona. Wakasema: 38“Amebarikiwa Mfalme ajaye kwa Jina la Bwana!” “Amani mbinguni na utukufu huko juu sana.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.