Luka 19:34
Luke 19:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wale wanafunzi wakajibu, “Bwana anamhitaji.”
Luke 19:34 in English
Luke 19:34 · Berean Standard Bible
“The Lord needs it,” they answered.
Context
32Wale waliotumwa wakaenda, wakakuta kila kitu kama vile Yesu alivyokuwa amewaambia. 33Walipokuwa wanamfungua yule mwana-punda, wenyewe wakawauliza, “Mbona mnamfungua huyo mwana-punda?” 34Wale wanafunzi wakajibu, “Bwana anamhitaji.” 35Wakamleta kwa Yesu, nao baada ya kutandika mavazi yao juu ya huyo mwana-punda, wakampandisha Yesu juu yake. 36Alipokuwa akienda akiwa amempanda, watu wakatandaza mavazi yao barabarani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.