Luka 19:38
Luke 19:38 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Amebarikiwa Mfalme ajaye kwa Jina la Bwana!” “Amani mbinguni na utukufu huko juu sana.”
Luke 19:38 in English
Luke 19:38 · Berean Standard Bible
“Blessed is the King who comes in the name of the Lord!”* “Peace in heaven and glory in the highest!”*
Context
36Alipokuwa akienda akiwa amempanda, watu wakatandaza mavazi yao barabarani. 37Alipokaribia mahali yanapoanzia materemko ya Mlima wa Mizeituni, umati wote wa wafuasi wake wakaanza kumsifu Mungu kwa furaha kwa sauti kuu kwa ajili ya matendo yote ya miujiza waliyoyaona. Wakasema: 38“Amebarikiwa Mfalme ajaye kwa Jina la Bwana!”
“Amani mbinguni na utukufu huko juu sana.” 39Baadhi ya Mafarisayo waliokuwamo miongoni mwa ule umati wa watu wakamwambia, “Mwalimu, waamuru wanafunzi wako wanyamaze.” 40Yesu akawajibu, “Nawaambia ninyi, kama hawa wakinyamaza, mawe yatapiga kelele.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.