Luka 17:16
Luke 17:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akajitupa miguuni mwa Yesu akamshukuru. Yeye alikuwa Msamaria.
Luke 17:16 in English
Luke 17:16 · Berean Standard Bible
He fell facedown at Jesus’ feet in thanksgiving to Him—and he was a Samaritan.
Context
14Alipowaona akawaambia, “Nendeni mkajionyeshe kwa makuhani.” Nao walipokuwa njiani wakienda, wakatakasika. 15Mmoja wao alipoona kwamba amepona, akarudi kwa Yesu, akimsifu Mungu kwa sauti kuu. 16Akajitupa miguuni mwa Yesu akamshukuru. Yeye alikuwa Msamaria. 17Yesu akauliza, “Je, hawakutakaswa wote kumi? Wako wapi wale wengine tisa? 18Hakuna hata mmoja aliyeonekana kurudi ili kumshukuru Mungu isipokuwa huyu mgeni?”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.