Native Bible

Luke 17:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mmoja wao alipoona kwamba amepona, akarudi kwa Yesu, akimsifu Mungu kwa sauti kuu.

Luke 17:15 in English

Luke 17:15 · Berean Standard Bible

When one of them saw that he was healed, he came back, praising God in a loud voice.

Context

13wakapaza sauti, wakasema, “Yesu, Bwana, tuhurumie!” 14Alipowaona akawaambia, “Nendeni mkajionyeshe kwa makuhani.” Nao walipokuwa njiani wakienda, wakatakasika. 15Mmoja wao alipoona kwamba amepona, akarudi kwa Yesu, akimsifu Mungu kwa sauti kuu. 16Akajitupa miguuni mwa Yesu akamshukuru. Yeye alikuwa Msamaria. 17Yesu akauliza, “Je, hawakutakaswa wote kumi? Wako wapi wale wengine tisa?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.