Luka 17:14
Luke 17:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Alipowaona akawaambia, “Nendeni mkajionyeshe kwa makuhani.” Nao walipokuwa njiani wakienda, wakatakasika.
Luke 17:14 in English
Luke 17:14 · Berean Standard Bible
When Jesus saw them, He said, “Go, show yourselves to the priests.”* And as they were on their way, they were cleansed.
Context
12Alipokuwa akiingia kwenye kijiji kimoja, watu kumi waliokuwa na ukoma wakakutana naye. Wakasimama mbali, 13wakapaza sauti, wakasema, “Yesu, Bwana, tuhurumie!” 14Alipowaona akawaambia, “Nendeni mkajionyeshe kwa makuhani.” Nao walipokuwa njiani wakienda, wakatakasika. 15Mmoja wao alipoona kwamba amepona, akarudi kwa Yesu, akimsifu Mungu kwa sauti kuu. 16Akajitupa miguuni mwa Yesu akamshukuru. Yeye alikuwa Msamaria.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.