Native Bible

Luke 17:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

wakapaza sauti, wakasema, “Yesu, Bwana, tuhurumie!”

Luke 17:13 in English

Luke 17:13 · Berean Standard Bible

and raised their voices, shouting, “Jesus, Master, have mercy on us!”

Context

11Yesu alipokuwa njiani akienda Yerusalemu, alipitia mpakani mwa Samaria na Galilaya. 12Alipokuwa akiingia kwenye kijiji kimoja, watu kumi waliokuwa na ukoma wakakutana naye. Wakasimama mbali, 13wakapaza sauti, wakasema, “Yesu, Bwana, tuhurumie!” 14Alipowaona akawaambia, “Nendeni mkajionyeshe kwa makuhani.” Nao walipokuwa njiani wakienda, wakatakasika. 15Mmoja wao alipoona kwamba amepona, akarudi kwa Yesu, akimsifu Mungu kwa sauti kuu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.