Native Bible

Luke 17:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hakuna hata mmoja aliyeonekana kurudi ili kumshukuru Mungu isipokuwa huyu mgeni?”

Luke 17:18 in English

Luke 17:18 · Berean Standard Bible

Was no one found except this foreigner to return and give glory to God?”

Context

16Akajitupa miguuni mwa Yesu akamshukuru. Yeye alikuwa Msamaria. 17Yesu akauliza, “Je, hawakutakaswa wote kumi? Wako wapi wale wengine tisa? 18Hakuna hata mmoja aliyeonekana kurudi ili kumshukuru Mungu isipokuwa huyu mgeni?” 19Yesu akamwambia, “Inuka na uende zako, imani yako imekuponya.” 20Yesu alipoulizwa na Mafarisayo Ufalme wa Mungu utakuja lini, yeye akawajibu, “Ufalme wa Mungu hauji kwa kuchunguza kwa bidii,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.