Native Bible

Luke 17:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu akamwambia, “Inuka na uende zako, imani yako imekuponya.”

Luke 17:19 in English

Luke 17:19 · Berean Standard Bible

Then Jesus said to him, “Rise and go; your faith has made you well!*”

Context

17Yesu akauliza, “Je, hawakutakaswa wote kumi? Wako wapi wale wengine tisa? 18Hakuna hata mmoja aliyeonekana kurudi ili kumshukuru Mungu isipokuwa huyu mgeni?” 19Yesu akamwambia, “Inuka na uende zako, imani yako imekuponya.” 20Yesu alipoulizwa na Mafarisayo Ufalme wa Mungu utakuja lini, yeye akawajibu, “Ufalme wa Mungu hauji kwa kuchunguza kwa bidii, 21wala watu hawatasema, ‘Huu hapa,’ au ‘Ule kule,’ kwa maana Ufalme wa Mungu umo ndani yenu.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.