Native Bible

Luke 10:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Mkiingia katika nyumba yoyote, kwanza semeni, ‘Amani iwe kwenu.’

Luke 10:5 in English

Luke 10:5 · Berean Standard Bible

Whatever house you enter, begin by saying, ‘Peace to this house.’

Context

3Haya! nendeni. Ninawatuma kama wana-kondoo katikati ya mbwa mwitu. 4Msichukue mkoba, wala mfuko, wala viatu, na msimsalimu mtu yeyote njiani. 5“Mkiingia katika nyumba yoyote, kwanza semeni, ‘Amani iwe kwenu.’ 6Kama kuna mtu wa amani humo, basi amani yenu itakuwa juu yake. La sivyo, itawarudia. 7Kaeni katika nyumba hiyo, mkila na kunywa kile watakachowapa, kwa sababu kila mtendakazi anastahili malipo yake. Msihamehame kutoka nyumba hadi nyumba.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.