Luka 10:3
Luke 10:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Haya! nendeni. Ninawatuma kama wana-kondoo katikati ya mbwa mwitu.
Luke 10:3 in English
Luke 10:3 · Berean Standard Bible
Go! I am sending you out like lambs among wolves.
Context
1Baada ya hayo, Bwana akawachagua wengine sabini na wawili, akawatuma wawili wawili katika kila mji na kila sehemu aliyokusudia kwenda baadaye. 2Akawaambia, “Mavuno ni mengi, lakini watendakazi ni wachache. Kwa hiyo mwombeni Bwana wa mavuno, ili apeleke watendakazi katika shamba lake la mavuno. 3Haya! nendeni. Ninawatuma kama wana-kondoo katikati ya mbwa mwitu. 4Msichukue mkoba, wala mfuko, wala viatu, na msimsalimu mtu yeyote njiani. 5“Mkiingia katika nyumba yoyote, kwanza semeni, ‘Amani iwe kwenu.’
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.