Native Bible

Luke 10:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Akawaambia, “Mavuno ni mengi, lakini watendakazi ni wachache. Kwa hiyo mwombeni Bwana wa mavuno, ili apeleke watendakazi katika shamba lake la mavuno.

Luke 10:2 in English

Luke 10:2 · Berean Standard Bible

And He told them, “The harvest is plentiful, but the workers are few. Ask the Lord of the harvest, therefore, to send out workers into His harvest.

Context

1Baada ya hayo, Bwana akawachagua wengine sabini na wawili, akawatuma wawili wawili katika kila mji na kila sehemu aliyokusudia kwenda baadaye. 2Akawaambia, “Mavuno ni mengi, lakini watendakazi ni wachache. Kwa hiyo mwombeni Bwana wa mavuno, ili apeleke watendakazi katika shamba lake la mavuno. 3Haya! nendeni. Ninawatuma kama wana-kondoo katikati ya mbwa mwitu. 4Msichukue mkoba, wala mfuko, wala viatu, na msimsalimu mtu yeyote njiani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.