Luka 10:4
Luke 10:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Msichukue mkoba, wala mfuko, wala viatu, na msimsalimu mtu yeyote njiani.
Luke 10:4 in English
Luke 10:4 · Berean Standard Bible
Carry no purse or bag or sandals. Do not greet anyone along the road.
Context
2Akawaambia, “Mavuno ni mengi, lakini watendakazi ni wachache. Kwa hiyo mwombeni Bwana wa mavuno, ili apeleke watendakazi katika shamba lake la mavuno. 3Haya! nendeni. Ninawatuma kama wana-kondoo katikati ya mbwa mwitu. 4Msichukue mkoba, wala mfuko, wala viatu, na msimsalimu mtu yeyote njiani. 5“Mkiingia katika nyumba yoyote, kwanza semeni, ‘Amani iwe kwenu.’ 6Kama kuna mtu wa amani humo, basi amani yenu itakuwa juu yake. La sivyo, itawarudia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.