Native Bible

Luke 10:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama kuna mtu wa amani humo, basi amani yenu itakuwa juu yake. La sivyo, itawarudia.

Luke 10:6 in English

Luke 10:6 · Berean Standard Bible

If a man of peace is there, your peace will rest on him; if not, it will return to you.

Context

4Msichukue mkoba, wala mfuko, wala viatu, na msimsalimu mtu yeyote njiani. 5“Mkiingia katika nyumba yoyote, kwanza semeni, ‘Amani iwe kwenu.’ 6Kama kuna mtu wa amani humo, basi amani yenu itakuwa juu yake. La sivyo, itawarudia. 7Kaeni katika nyumba hiyo, mkila na kunywa kile watakachowapa, kwa sababu kila mtendakazi anastahili malipo yake. Msihamehame kutoka nyumba hadi nyumba. 8“Mkienda katika mji na watu wake wakawakaribisha, kuleni chochote kiwekwacho mbele yenu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.