Native Bible

Luke 10:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kaeni katika nyumba hiyo, mkila na kunywa kile watakachowapa, kwa sababu kila mtendakazi anastahili malipo yake. Msihamehame kutoka nyumba hadi nyumba.

Luke 10:7 in English

Luke 10:7 · Berean Standard Bible

Stay at the same house, eating and drinking whatever you are offered. For the worker is worthy of his wages.* Do not move around from house to house.

Context

5“Mkiingia katika nyumba yoyote, kwanza semeni, ‘Amani iwe kwenu.’ 6Kama kuna mtu wa amani humo, basi amani yenu itakuwa juu yake. La sivyo, itawarudia. 7Kaeni katika nyumba hiyo, mkila na kunywa kile watakachowapa, kwa sababu kila mtendakazi anastahili malipo yake. Msihamehame kutoka nyumba hadi nyumba. 8“Mkienda katika mji na watu wake wakawakaribisha, kuleni chochote kiwekwacho mbele yenu, 9waponyeni wagonjwa waliomo na waambieni: ‘Ufalme wa Mungu umekaribia.’

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.