Native Bible

Leviticus 7:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Popote mtakapoishi, kamwe msinywe damu ya ndege yeyote wala ya mnyama.

Leviticus 7:26 in English

Leviticus 7:26 · Berean Standard Bible

You must not eat the blood of any bird or animal in any of your dwellings.

Context

24Mafuta ya mnyama aliyekutwa amekufa au ameraruliwa na mnyama pori yanaweza kutumika kwa kazi nyingine yoyote, lakini kamwe msiyale. 25Mtu yeyote alaye mafuta ya mnyama ambaye ametolewa sadaka kwa Bwana kwa moto ni lazima akatiliwe mbali na watu wake. 26Popote mtakapoishi, kamwe msinywe damu ya ndege yeyote wala ya mnyama. 27Ikiwa mtu yeyote atakunywa damu, mtu huyo lazima akatiliwe mbali na watu wake.’ ” 28Bwana akamwambia Mose,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.