Walawi 7:27
Leviticus 7:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ikiwa mtu yeyote atakunywa damu, mtu huyo lazima akatiliwe mbali na watu wake.’ ”
Leviticus 7:27 in English
Leviticus 7:27 · Berean Standard Bible
If anyone eats blood, that person must be cut off from his people.’”
Context
25Mtu yeyote alaye mafuta ya mnyama ambaye ametolewa sadaka kwa Bwana kwa moto ni lazima akatiliwe mbali na watu wake. 26Popote mtakapoishi, kamwe msinywe damu ya ndege yeyote wala ya mnyama. 27Ikiwa mtu yeyote atakunywa damu, mtu huyo lazima akatiliwe mbali na watu wake.’ ” 28Bwana akamwambia Mose, 29“Waambie Waisraeli: ‘Mtu yeyote aletaye sadaka ya amani kwa Bwana ataleta sehemu ya sadaka hiyo kama dhabihu yake kwa Bwana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.