Native Bible

Leviticus 7:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana akamwambia Mose,

Leviticus 7:28 in English

Leviticus 7:28 · Berean Standard Bible

Then the LORD said to Moses,

Context

26Popote mtakapoishi, kamwe msinywe damu ya ndege yeyote wala ya mnyama. 27Ikiwa mtu yeyote atakunywa damu, mtu huyo lazima akatiliwe mbali na watu wake.’ ” 28Bwana akamwambia Mose, 29“Waambie Waisraeli: ‘Mtu yeyote aletaye sadaka ya amani kwa Bwana ataleta sehemu ya sadaka hiyo kama dhabihu yake kwa Bwana. 30Ataleta sadaka kwa mikono yake mwenyewe iliyotolewa kwa Bwana kwa moto; ataleta mafuta ya huyo mnyama pamoja na kidari, naye atainua hicho kidari mbele za Bwana kuwa sadaka ya kuinuliwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.